MUHANGA MKUBWA WA IMAM HUSSEIN (A.S.) IMETABIRIWA NDANI YA BIBLIA NA QUR’ANI

 

      Hata Biblia nayo imetabiri kifo cha Imam Hussein (a.s.)  kwa kutaja hivi:-  “Maana hiyo ni siku ya BWANA, Bwana wa Majeshi, siku ya kisasi, ili ajilipize kisasi juu ya adui zake; Nao upanga utakula na kushiba, utakunywa damu yao hata kukinai, maana Bwana, BWANA wa Majeshi, anasadaka yake katika nchi ya Kaskazini karibu na mto Frati.” Rejea: (AGANO LA KALE; JEREMIA 46:10.).

 

Hata Qur’ani nayo imetabiri kifo cha Imam Hussein (a.s.), Hii ni ‘Zibhe-Azeem’ au Muhanga Mkubwa, ambao Mungu ameutabiri kuchukuwa mahali pa Muhanga wa Idrahim: - “Ewe Ibrahim! Umekwisha itimiiza ndoto.  Hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wanao tenda mema, Hakika haya ni majaribio yaliyo dhahiri, Basi tukamtolea fidia kwa dhabihu mtukufu, Na tukamwachia kwa watu walio kuja baadaye.” (Qur’ani Tukufu; 37: 105-108).

 
 

Prepared by: Khoja Shia Ithna Asheri Dar es Salaam Juloos Committee 1429AH (2008)
Email us your comments, suggestions, articles, etc through the Website Coordinator: Murtaza H. Lalji