|
MITUME WA ZAMANI WALIJULISHWA KUHUSU MUHANGA MKUBWA WA IMAM HUSSEIN
(A.S.)
Kutoka
kwa wanahistoria, imetaarifiwa kwamba Mitume wa zamani - yaani, Adam,
Zakariya, Ibrahim na Islamail, Suleiman,
Musa, Issa na Muhammad, waijulishwa na Mwenyezi Mungu
kuhusu Muhanga wa Hussein ambao atautoa kwa ajili ya kuisimamisha upya
dini ya Mwenyezi Mungu katika ardhi. Rejea: (Tafsir-e-Ali ibn
Ibrahim- Kashful Ghumma, -Tadhkira-e-ibn Jawazi, Mataalibns-su’u.).
|